KIFiJO ni timu ya wataalam wa ICT inayotoa huduma mbalimbali za ICT kwa wajasiliamali wadogo na wa kati ambao hawana uwezo wa kumudu gharama za kuajiri wataalam wa IT. Baadhi ya huduma zetu ni zifuatazo:
Je unayo tovuti lakini umeshindwa gharama za kumwajiri mtu wa kuisimamia tovuti yako?Tupo kwa ajili yako.
Je una taarifa kwenye tovuti yako zilizopitwa na wakati na huna mtalaam wa kuzibadilisha?,Tupo kwa ajili yako.
Tunatoa huduma ya kuandaa vipeperushi,vitambulisho,kadi za harusi,vitabu vya risiti,kutengeneza fomu mbalimbali na kuandaa majarida.
Je unahitaji kuwa na tovuti kwa ajili ya kukutangaza wewe binafsi au shughuli zako?
Na je unafahamu kwamba kuwa na tovuti yako binafsi au kwa ajili ya shughuli zako sio ghali sana kama wengi wanavyodhani?
Piga: 0762417904 kwa Ushauri.
Je una peji ramsi ya Facebook au Instagramu ya kampuni yako,taasisi unayoingoza au ya kutangaza shughuli/biashara zako binafsi lakini huna mtaalam wa kuiendesha na kukutengenezea matangazo?Wasiliana nasi.
Tunafanya tathmini ya uwepo wa shughuli zako mtandaoni na kushauri njia ipi bora itumike kuleta wateja sahivi kwenye biashara yako kwa njia ya mtandao.
Shughuli yoyote ya kibiashara iwe kubwa au ndogo inapaswa iwepo mtandaoni.Wateja wako wengi watatamani wanapotafuta biashara yako mtandaoni ionekane.Hivyo tumia tovuti au mitandao ya kijamii kutangaza shughuli zako.
Biashara mtandao ni mifumo/nyezo zinazotumika kuuza na kununua bidhaa mtandaoni bila kujali kikwanzo cha umbali.Tumia nyenzo hii kufanya biashara yako na kuongeza tija.Siku hizi unaweza nunua na kuuza chochote mtandaoni.Karibu KIFiJO tukushauri.
Tunatoa huduma mbalimbali na ushauri wa mambo ya TEHAMA.Hapa chini ni orodha ya jumla ya huduma tunazotoa kwa sasa.
Tunakagua tovuti yako kama inakidhi vigezo vyote vya usalama na kuichunga kila siku kuepuka kudukuliwa.
Kuhakikisha mara kwa mara tunakuwa na nakala ya tovuti yako na kuitunza sehemu salama.
Kuandaa ripoti ya takwimu ya wateja wanaotembelea tovuti yako kila wiki,mwezi, mwaka,nchi na mikoa wanakotoka kwa ajili ya kufanya maamzi.
Tovuti haipaswi kuwa na taarifa zilizoisha muda wake,Hivyo tunatoa huduma ya kuondoa taarifa za zamani na kuweka taarifa mpya na sahahihi.
Picha za matukio yaliyopita muda wake hazipaswi kuwa kwenye tovuti kwa muda mrefu.Tunatoa huduma ya kuondoa picha na habari za aina hiyo na kuweka mpya
Peji za tovuti zinaunganishwa na viungo mbalimbali(links),hivyo ni muhimu kuhakikisha viungo hivyo vinafanya kazi na mteja akibofya kwenye kiungo,kimfikishe sehemu sahihi na si vinginevyo.
Mtu yeyote anapaswa kuwa na tovuti ya kuonyesha shughuli zake,CV yake nk.Anaweza kuwa ni Kiongozi,Mwanataaluma,Mwanasiasa,Mfanya Biashara,Mhubiri,Mwanamitindo,Muimbaji au mtu yeyote maarufu.
Piga namba hii 0762417904 kwa ufafanuzi zaidi
Tovuti za taasisi kama NGO,Vikundi,Kampuni,Miradi ya maendeleo,SACCOS nk.Tunatengeneza tovuti za aina hii pia kwa gharama nafuu na kutoa ushauri juu ya masuala ya tovuti.
Piga namba hii 0762417904 kwa maelezo zaidi
Tovuti za kuuza na kununua bidhaa mbalimbali kwa njia ya mtandao.Ongeza tija na mauzo ya biashara yako kwa kutumia technolojia hii.
Kwa ushauri na kutengenezewa tovuti za aina hii wasiliana nasi kwa namba hii: 0762417904
Tunatengeneza vipeperushi mbalimbali,bana,bronchuwa kwa ajili ya Matangazo ya social media.
Tunatengeza LOGO mbalimbali kwa ajili ya utambulisho wa shughuli zako.
Tunatoa huduma ya kuandaa majarida na kuandika manyo(Manuals) za mifumo,bidhaa nk.
Je una dodoso za utafiti na unataka ziwafikie wasahiliwa wengi zaidi kwa muda mfumi?Karibu tukuhudumie.
Kuingiza taarifa za tafiti zilizokusanywa kwa kutumia karatasi na kuziingiza kwenye programu za komputa kwa ajili ya uchambuzi.
Huduma ya kuondoa data chafu kwa ajili ya uchambuzi wa data.
Kampuni yetu inafanya kazi na watu binafsi,Kampuni na Taasisi mbalimbali.Hizi ni baadhi ta taasisi na watu tunaofanya nao Kazi.
Je Umevutiwa na huduma zetu? Wasiliana nasi. Watalaam wetu wako tayari Kukuhudumia
Kama unahitaji watu weledi na waaminifu wa kufanya nao kazi.Sisi ni Chaguo lako.
Gharama zetu za kutengeneza tovuti zinategemea mambo yafuatayo:
Gharama zetu ni nafuu sana,wasiliana nasi tukusikilize halafu tukubaliane.