Kuangalia usalama wa tovuti,kuhuisha taarifa zilizoisha muda wake kwenye tovuti,kudurufu nakala ya tovuti yako,kuandaa repoti ya kila mwezi nk.
Tunatoa huduma ya kutengeneza tovuti za aina mbalimbali kwa wateja wetu.
Tunatoa huduma ya kutengeneza vitambulisho,Vipeperushi,Majarida,Logo,kadi za harusi,kadi za biashara(business card) etc.
Kuingiza taarifa za tafiti zilizokusanywa kwa kutumia karatasi na kuziingiza kwenye programu za komputa kwa ajili ya uchambuzi.
Tunatengeneza fomu za kidigitali za kukusanya taarifa na kuzi-configure.
Tunatoa huduma ya kuendesha mitandao yako ya kijamii kwa kuongeza tija kwenye shughuli zako.
Aksante kwa kutembelea tovuti yetu na kuona huduma tunazotoa kwa wateja wetu,
Kama unahitaji tukuhudumie wasiliana nasi kwa namba 0762417904.